Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,943
- 1,015
tatizo la habari za leo hazieleweki ipi ya kweli ipi ya uongo
Nmetoka kuongea na Nassari muda c mrefu anasema alikua anatania leo ni siku ya wajinga, mawakala wake wote wapo vituoni
Wewe nawe ni Mpumbavu kabisa kama huna jambo la msingi kaa kimya waachie wengine wachangieNmetoka kuongea na Nassari muda c mrefu anasema alikua anatania leo ni siku ya wajinga, mawakala wake wote wapo vituoni
nmetoka kuongea na nassari muda c mrefu anasema alikua anatania leo ni siku ya wajinga, mawakala wake wote wapo vituoni
be serious mkuu wajua aya masuala ni muhimu katika mustakabali pia atma ya maisha ya watu wa arumeru na watanzania kwa ujumla, i think you better keep quiet au peleka masiala yako uko fb wanakusubili
wanawazuia ili waweke mambo sawa?
2weni serious kidogo wadau wa JF as kwa ss 2lioko mbali twawategemeeni nyie ndio mtuhabarishe pasipo masihara wala mzaha juu ya hayo yaendeleayo uko