L Logik Member Joined Jan 17, 2012 Posts 32 Reaction score 4 Jul 17, 2012 #1 Habari zenu wa JF, Naomba kujuzwa kama kuna mawakala wa Beforward(Wauza magari) hapa Tanzania. Aksanten
Habari zenu wa JF, Naomba kujuzwa kama kuna mawakala wa Beforward(Wauza magari) hapa Tanzania. Aksanten
Glucky Senior Member Joined Dec 16, 2009 Posts 123 Reaction score 41 Jul 17, 2012 #2 ulikuwa unahitaji gari?
N NnyaMbwate JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 1,678 Reaction score 1,204 Jul 17, 2012 #3 Watajitokeza watu kibao kukushauri. Kwa ufupi beforward hawana mawakala. Peruzi kwa Japanese Used Cars | BE FORWARD ama wasiliana nao kwa top@beforward.jp Chunga sana usije ingizwa usipotarajia.
Watajitokeza watu kibao kukushauri. Kwa ufupi beforward hawana mawakala. Peruzi kwa Japanese Used Cars | BE FORWARD ama wasiliana nao kwa top@beforward.jp Chunga sana usije ingizwa usipotarajia.