Mawakala/agents wa Safaricom waanza kupokea kichapo Nyanza

Magufuli ni Raisi wa JMTZ wakati Odinga Mfalme wa Wajaluo kama Mbowe alivyokuwa Mfalme wa Wachaga!
Sizonje pia ni mfalme wa kanda hiyo alitokea Raila. Kama angekuwa presida wa wote asingebomoa Kimara akaacha mwanza !
 
Vizuri sana raia wa Kenya Endelezeni harakati
Hujui chochote. Ungesema raia wa Nyanza, huku Kenya hamna cha kususia wala nini. Sasa hivi kwenye kaunti yangu watu wanapeana offer za maziwa ya Brookside utadhani ni Tusker.
 
Hujui chochote. Ungesema raia wa Nyanza, huku Kenya hamna cha kususia wala nini. Sasa hivi kwenye kaunti yangu watu wanapeana offer za maziwa ya Brookside utadhani ni Tusker.
hiyo brookside yenyewe ni majimaji sana,wamearibu sana.
try KCC utajionea tofauti
 
Kwani Nyanza sio kenya?nyie watu aliewaroga kafa yaani upo tayari kuigawa nchi yako kisa tu hupendwi huko
Tumesha toka kwenye siasa sasa tuko kwenye ubabe wa kibiashara. Nyanza si Kenya ni Kavirondo. Mnawataka?
 
Siyo kweli, Mbowe akisema kitu chadema wote wanafwata, lkn usichanganye chadema na Watanzania!

Chadema ni wa msumbiji? Na mbowe alishawahi waambiwa hao wana msumbiji wasusie kampuni ya simu na wakasusa
 
Serikali ya Kenya ipige marufuku mitandao yote ya simu sehemu zote wafuasi wa NASA wanaofanyia fujo wafanyakazi wa Safaricom
 
Siasa za kenya bwana !!! ni hatari.

utakuja kushangaa hii ikawa silaha kubwa sana kwa watawala na makampuni lengwa.

Kama wana ukabila na Raila ana wapiga kura zaidi ya Million 10 + Jumlisha ndugu zao+jumlisha watoto wao + Jumlisha ukabila+jumlisha Ukanda.

Unaweza kuta Safaricom wakatafuta kazi zingine.
 
Wakatafuta kazi nyingine au wakatafute tayari? Li kampuni lenyewe ndo mapato yameshuka kwa 70% within 1 week.
 

Raila anachapa bakora/viboko wajaluo wenzake!!!!aisheee! Ero kamanoo, waswahili husema nguruwe anakula watoto wake mwenyewe!!! Unbelivable but that is the reality for Hon Raila Orengo, Anyang Babu Owino! Hii ni kwa sababu ndugu zao ndo watafukuzwa kazi au watakosa kufanya biashara kwa sababu tu ya viongozi wachache kati yao wanataka madaraka serikalini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…