Si kweli kuwa kila mvaa kimini anamtega mwanaume nakataa mfano last week nilikuwa kwenye k/party km unavojua hivi ni ya kinadada watupu lakini watu walivaa vimini vya hatari SWALI hebu nambie Hapo walikuwa wanamtega nani sasa.!?
Sikatai wapo wanaotega wanaume lkn si wote wengine ni fashion tu.