lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,484
Ninaweza kukubaliana na wewe kwa Asilimia 50 kuwa mavazi yanakuwa na ujumbe Fulani MF Kuna school uniforms,office uniforms, baibui n.k mtu ukivaa unajulikana ni mtu wa aina Fulani but another 50% just for fashion kulingana na wakati.
Jamani nyie zoeeni tu.
tunarudi tulikotoka. Nguo kitu gani!
Kusingekuepo wanaume tungetembea uch* kabsaa yani mnatubana
aiseeeeee
Si kweli kuwa kila mvaa kimini anamtega mwanaume nakataa mfano last week nilikuwa kwenye k/party km unavojua hivi ni ya kinadada watupu lakini watu walivaa vimini vya hatari SWALI hebu nambie Hapo walikuwa wanamtega nani sasa.!?hiyo asilimia unayoipinga mimi.naona unapingana na ukweli.mimi naamini.pasingekuepo.wanaume haya yasingalikuepo vipi.mwanamke avae kimini unamuonyesha nani maumbile yako?japo nikweli kua wapo wanaovaa kwa kuiga bila kujua akifanyacho kinamaana ipi.yote ni kuiga uzungu tukijidanganya kwenda na wakati mzungu sio ---- analake lengo kwenu
hamujuitu.
Habari zenu wenyeji
wa jukwaa hili.
Mavazi ya wanawake yamekuwa na mitindo inayobadilika kwa kwa kasi kama
mabadiliko ya sayansi na teknolojia. leo naomba kujua jambo moja ambalo
huwa linajitatiza. Kuna mavazi ya mitindo mbalimbali na kwa kuangalia tu
utaona mengi kama yana lengo la kupeleka ujumbe mahali fulani.Kwa mfano
vazi la khanga na maandishi yake,hii huwa kuna mahali ujumbe huwa
umekusudiwa kuelekea. hili sio shida sana. ila sasa kuna baadhi ya
mavazi kwa mitindo yake ilivyo utona wazi kuna watu wamelengwa
kupelekewa ujumbe fulani licha ya kuwa vazi hilo halina maandishi. Mfano
vimini, nguo zenye mipasuo mikubwa kiasi cha kuweza hata kuona mahala
miguu inapounganika, au vazi lenye mgongo wazi kiasi cha kuweza kuona
nguo ya ndani kupitia mgongoni, mavazi yanayoonesha vitovu, ama viguo
hivi vinavyokua kama suruali vinavyoshika mwili ana suruali zinazobana
n.k. Hapa silaumu ila swali langu ni nani anaepelekwa ujumbe huo kwa
sababu mwanamke au msichana akipita popote amevaa vivazi hivyo wote
humuangalia yaani wanaume na wanawake, ila kwa mshangao wanaomwangalia
zaidi ni wanawake wenzake.Je akina dada mnaekusudia kumpelekea ujumbe ni
ME au KE? Ingawa watazamaji wakubwa huwa ni wanawake wenzenu lakini
anaetamani zaidi maumbile yaliyo wazi ya huyo alievaa kivazi mpasuo ni
ME. Ujumbe kwa nani?
Ninaweza kukubaliana na wewe kwa Asilimia 50 kuwa mavazi yanakuwa na ujumbe Fulani MF Kuna school uniforms,office uniforms, baibui n.k mtu ukivaa unajulikana ni mtu wa aina Fulani but another 50% just for fashion kulingana na wakati.[/QUOTE
Safi sana sasa kwa mfano nguo zinzoonesha mapaja na seheme tam kimini, nguo zenye mpasuo, nguo zinazoshika mwili kiasi cha kuona umbo na nguo nyingine kama hizo nani huwa analengwa kufikishiwa ujumbe. ME au fellow KE. Kumbuka fashion ni sehem ya art na kazi ya art ni kufikisha ujumbe. nani mlengwa?
Kusingekuepo wanaume tungetembea uch* kabsaa yani mnatubana
Kusingekuepo wanaume tungetembea uch* kabsaa yani mnatubana
Hivi beach costume zinatuma ujumbe gani vileeee..........................
Jamani nyie zoeeni tu.
tunarudi tulikotoka. Nguo kitu gani!
Jamani nyie zoeeni tu.
tunarudi tulikotoka. Nguo kitu gani!