Ukimpata mnunuzi niambieNauza mahindi mwenye uhitaji anione pm
Nauza mahindi mwenye uhitaji anione pm
Mkuu omba kibali uyawahishe somalia na sudan fasta na ww uje uwanunulie ng'ombe juice ya azamNauza mahindi mwenye uhitaji anione pm
We jamaa vpi?" mahindi sio zao langu, ni zao litokanalo na mimea,, Mimi sizai MAHINDI mkuu, Kiswahili kigumu sana!! Tujiendeleze zaidi,, mkuu zao langu mimi Ni watoto.Tatizo la zao lako ni kila nchi duniani inalima hiyo bidhaa kwa ajili ya mifugo yao, korosho ni taifa kubwa. Inatafunwa kwenye party za majuu as appetizer huku mchakato wa kutafuta hela ama kikao cha harusi kikiendelea. Mahindi majuu wanakula punda na mifugo mingine.
Skmaliya??" Huko ni bora niende kama Al qaydaMkuu omba kibali uyawahishe somalia na sudan fasta na ww uje uwanunulie ng'ombe juice ya azam
Kila la kherri mkuu ukirudi niletee zawadi ya AK-47Skmaliya??" Huko ni bora niende kama Al qayda
We jamaa vpi?" mahindi sio zao langu, ni zao litokanalo na mimea,, Mimi sizai MAHINDI mkuu, Kiswahili kigumu sana!! Tujiendeleze zaidi,, mkuu zao langu mimi Ni watoto.