Mauti yaliosababishwa na mke


Anayenifanya niishi kama mvuta bange hata akifa sisikitiki afe salama. Kuwa na mwenza ni upumbavu ukiotukuka anakuua mi mwenyewe nishida ya moyo kwasababu hiyo akifa anayenitesa itakuwa bora.
 

Hauna audio yake au video yake mana ndeefu
 
Sure,alafu wanapenda kutumia mistar ya biblia sijui mwanaume atakula kwa jasho. Wanawake hawana huruma kabisa.
 
Umeiona kwanza aina ya hiyo gari?
Nimeiona mkuu, na kimuonekano ni kama Mitsubish Pajero, ingawa imeumia kama Landrover Discovery kwa jinsi ilivyokua na body kama biscuit
 
jiwedogo hiki ni kisa cha kweli au simulizi tu
Nauliza kama ni kisa cha kweli mhusika alimsimulia nani wakati baada ya kutoka kwa mkewe alipata ajali akapoteza maisha.
Mkewe ndio alisimulia visa vyote hivi au ni simulizi ya kufikirika?
Nauliza tu Mkuu No offence!
 
dokezo zuri mkuu , fid q anakwambia "...mpende mkeo, siri zako mpe mama yako"

maandiko pia yanasema '...ishi nao kwa akili...'

M
 
Hii ni simulizi ya kweli mkuu.
Rafiki wa marehem ndie aliandika habari hii sehem, na bahati mbaya/nzuri niliwahi kuifahamu familia ya marehemu vyema. Na hapo ndipo nilipo shawishika kutaka kuyafahamu yalio msibu marehem.
Mkuu narudia kukueleza kwamba, rafiki wa marehem aliyafahamu mengi mateso ya marehem na ndie aliye nipea simulizi hii
 
Asante Mkuu
Inasikitisha sana
Lipo jambo la kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…