Maumivu ya titi

Maumivu ya titi

Flores

Member
Joined
May 19, 2013
Posts
39
Reaction score
3
Mi msichana miaka 25 nasumbuliwa na maumivu kwenye titi la kulia linauma nikilibonyeza upande wa kulia na nikilalia nahic ugumu flani hiv wa chuchu tofauti na jingine laweza kua tatizo gani mana halitoi chochote na halijabadilika rangi ila linamaumivu na hayo maumivu nikibonyeza km yako kwenye mishipa ya ziwa ya upande wa kulia na nikilalia nahisi huo ugumu ugumu wa chuchu. Nlishawai kwenda hospital mwaka jana na nkachek mpk utrasound wakanambia hakuna kitu labda mshtuko tuu na kweli liliacha sasa mwaka huu mwez wa tisa limeanza tena kuuma.msaaada plz​
 
ulienda hospilali gani hiyo!
kama vipi nenda hostali nyingine tofauti na ile ya kwanza yenye madakitari bingwa
 
make sure unaenda hospitali kwa uchunguzi zaidi mana kwa ushauri wa ugonjwa wa saratani ya titi huwa mnaambiwa mara kwa mara muwe mnajichunguza matiti yenu kwa kuyabonyeza na kugundua vitu kama hivyo vya uvimbe kwa ndani au maumivu au kukaa mbele ya kioo kikubwa na kuangalia utofauti wa ukubwa wa matiti yani labda moja kubwa jingine dogo endapo kama hujazaliwa hivyoa........mama yangu amefariki kwa ugonjwa huo na ni pale alipokuwa anasikia maumivu ila akawa anayachukulia ni ya kawaida kwani yalitokana na kung'atwa na mdogo wangu wakati anamnyonyesha alipo ona yanendelea bila kupona ndo ikabidi aende ocean road hospital kwa uchunguzi japo ikawa ni too late....kwani kansa ilisha fika mbali
 
mmh isije ikawa ni kansa so unanishauri niende moja kwa moja huko au niende nkacheki kwanza kwenye hospital za kawaida mana me nipo mkoani
 
ya ninachokushauri nenda moja kwa moja kwa daktari wa kansa ili wakikwambia sio kansa ndoi urudi huku kwa daktar kawaida kwani kama sio kansa basi litakuwa tatizo la kawaida ....sio siri kuchukulia serious kwa kweli mana hata mama alianzia kwa hawa wa kawaida tena ilikuwa pia mkoa morogoro wakawa wanampa dawa za kutuliza maumivu tu ndio maana nakwambia kuja kufika ocean road ikawa too late kwani alikatwa titi pia haikusaidia fanya hima uje kufanyiwa uchunguzi
 
Flores fuata ushauri aliokupa thehunk, pia nakupa pole sana kwa maumivu hayo;
thehunk pole sana na msiba wa mama yako mpenzi.

ya ninachokushauri nenda moja kwa moja kwa daktari wa kansa ili wakikwambia sio kansa ndoi urudi huku kwa daktar kawaida kwani kama sio kansa basi litakuwa tatizo la kawaida ....sio siri kuchukulia serious kwa kweli mana hata mama alianzia kwa hawa wa kawaida tena ilikuwa pia mkoa morogoro wakawa wanampa dawa za kutuliza maumivu tu ndio maana nakwambia kuja kufika ocean road ikawa too late kwani alikatwa titi pia haikusaidia fanya hima uje kufanyiwa uchunguzi
 
Last edited by a moderator:
make sure unaenda hospitali kwa uchunguzi zaidi mana kwa ushauri wa ugonjwa wa saratani ya titi huwa mnaambiwa mara kwa mara muwe mnajichunguza matiti yenu kwa kuyabonyeza na kugundua vitu kama hivyo vya uvimbe kwa ndani au maumivu au kukaa mbele ya kioo kikubwa na kuangalia utofauti wa ukubwa wa matiti yani labda moja kubwa jingine dogo endapo kama hujazaliwa hivyoa........mama yangu amefariki kwa ugonjwa huo na ni pale alipokuwa anasikia maumivu ila akawa anayachukulia ni ya kawaida kwani yalitokana na kung'atwa na mdogo wangu wakati anamnyonyesha alipo ona yanendelea bila kupona ndo ikabidi aende ocean road hospital kwa uchunguzi japo ikawa ni too late....kwani kansa ilisha fika mbali

hiv gharama inaweza kua kuanzia shngap jamn mana hali yangu ya uchumi si nzuri na tiba ni lazima niipate. so nijipange kuanzia shngapi
 
ulienda hospilali gani hiyo!
kama vipi nenda hostali nyingine tofauti na ile ya kwanza yenye madakitari bingwa

nlienda dispensary then hospital moja hv inaitwa uyole hospital iko mbeya huku maarufu km sijabaje then nyingine inaitwa st gema iko dodoma kote sikupata jibu tatizo ninini
ndo nataka niende huko ocean road km nlivyoshauriwa ila sijui ghrama zake nijipange kuanzia shngap
 
Mi msichana miaka 25 nasumbuliwa na maumivu kwenye titi la kulia linauma nikilibonyeza upande wa kulia na nikilalia nahic ugumu flani hiv wa chuchu tofauti na jingine laweza kua tatizo gani mana halitoi chochote na halijabadilika rangi ila linamaumivu na hayo maumivu nikibonyeza km yako kwenye mishipa ya ziwa ya upande wa kulia na nikilalia nahisi huo ugumu ugumu wa chuchu. Nlishawai kwenda hospital mwaka jana na nkachek mpk utrasound wakanambia hakuna kitu labda mshtuko tuu na kweli liliacha sasa mwaka huu mwez wa tisa limeanza tena kuuma.msaaada plz​
 
Mi msichana miaka 25 nasumbuliwa na maumivu kwenye titi la kulia linauma nikilibonyeza upande wa kulia na nikilalia nahic ugumu flani hiv wa chuchu tofauti na jingine laweza kua tatizo gani mana halitoi chochote na halijabadilika rangi ila linamaumivu na hayo maumivu nikibonyeza km yako kwenye mishipa ya ziwa ya upande wa kulia na nikilalia nahisi huo ugumu ugumu wa chuchu. Nlishawai kwenda hospital mwaka jana na nkachek mpk utrasound wakanambia hakuna kitu labda mshtuko tuu na kweli liliacha sasa mwaka huu mwez wa tisa limeanza tena kuuma.msaaada plz​
Hujambo. Unaendeleaje?
 
Back
Top Bottom