Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,611
Ni nani kwani huyu huko Daslam?
Kwani ni nani huyo
Angekuwa na maumivu asingengaa hivyo
Mbona hakuna tatizo sasa! Mwanaume aliyekamilika lazima aipende familia yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa fulani anaipenda familia yake sana ndio kitu kime mpa umaarufu lakini anapitia magumu
Who the fvuck is this man?
Vijana wa Azam tv
Burudani kwa wote
Mi ni. startimesSure humjui unaniangusha
Mbona hakuna tatizo sasa! Mwanaume aliyekamilika lazima aipende familia yake
Mi ni. startimes
Kafanyaje?
Nimechoka nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] brothers imefikia wapi
Nimechoka nayo