curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
- Thread starter
- #21
Mda huu nna maumivu chini ya ubavu sijui ndo figo yenyewe, panauma sana, ni kama msumali kwenye kidondaMimi nilikua na tatizo kama lako nilikua nais maumivu ata kupiga miayo nilikua siwezi maumivu yalikua makali sana hasa nikivuta hewa kwenda ndani nilizunguka hospital sana sikupata ata nafuu mwisho nikaambiwa nina Maji kwenye mapafu nikaanzishiwa Dozi ya TB ili kukausha yale maji nashukuru mungu nilipona saivi niko sawa