curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
Nitangulize shukrani kwenu nyote wana JF, kwa kazi nzuri ya kuelimishana juu ya mambo mbalimbali katika jamii yetu, Shukrani sana ziwafikie.
Ndugu zangu, Mimi nimekuwa na maumivu ya ndani ya kifua upande wa kushoto ambayo yanaenda mpaka mgongoni, nimekua na tatizo hili yapata miaka mitano(5) sasa, nimekua nikienda hospitalini kufanya vipimo ambapo sijapata majibu sahihi ya kitu kinachonisumbua zaidi naambiwa nina ugonjwa wa Pneumonia na vidonda vya tumbo
Lakini kwangu mimi, maumivu yanakua tofauti nikilalia ubavu Upande wa kushoto ni kama nimechomwa na mshale au kitu chenye ncha kali, ndani hata nikipumua au kuvuta pumzi kwenda ndani naumia.
Naombeni, ushauri nifanye nini au kama kuna mtu aliwahi kupatwa na tatizo kama hili alifanyaje ili kuliepuka
SHUKRANI.