Maumivu ya mapenzi

Maumivu ya mapenzi

Salumu waliy

Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
8
Reaction score
3
Jamani ma fellow members,

Nina mpenzi wangu tulikuwa tunapendana sana yani na anajua kabisa kuwa yeye ndo my future wife Mungu akitujaalia uzima but kaja kubadilika ghafla.

Ni kweli nlimkwaza kidogo but ni mambo za kuongea tu na kuwekana sawa lakn hataki hali yeye ashawahi kunikwaza nikamsamehe na nikasahau kabisa yani serious naumia sana maana hataki kusikia chochote kutoka kwangu.
 
Huyo alikua hakutaki ndio maana akawa anakufanyia visa ili umuache ila ukashindwa sasa kachukulia sababu ya kumkwaza kidogo ndio akuache

ushauri kuwa play boy tu
 
Salumu waliy

Akufukuzaye hakwambii toka. Kua na akili ya kujiongeza weweeee
 
Last edited by a moderator:
hahahaha mkuu unafaa uwe mwalimu utawanyoosha sana

hahahaha .......... ningewapiga mianzi mpaka wanyooke, halafu mkuu ID yako inaonyesha wewe ni mjanjaa kinoma noma!' mbona jukwaani kule sikuonagi.
 
hahahaha .......... ningewapiga mianzi mpaka wanyooke, halafu mkuu ID yako inaonyesha wewe ni mjanjaa kinoma noma!' mbona jukwaani kule sikuonagi.

hahaha nitakuja mkuu..nasuburi code 8/8 iwe activated..nitakuja kwa kasi sana
 
we tumia akili yako vizuri.. wewe sepa hakuna future wife hapo... kama unaona sasa akusikilizi fikiria miaka 50 ya ndoa kuishi na huyo mwanamke yatakuwaje ndoa si kuvaa shela na suti na sherehe kubwa ya kuchangiwa ... acheni kulilia shida
 
............"neno".........
 
Jamani ma fellow members,

Nina mpenzi wangu tulikuwa tunapendana sana yani na anajua kabisa kuwa yeye ndo my future wife Mungu akitujaalia uzima but kaja kubadilika ghafla.

Ni kweli nlimkwaza kidogo but ni mambo za kuongea tu na kuwekana sawa lakn hataki hali yeye ashawahi kunikwaza nikamsamehe na nikasahau kabisa yani serious naumia sana maana hataki kusikia chochote kutoka kwangu.
Achana nae inaonyesha fika hana time na wewe kinachotakiwa ni kufanya maamumuzi magumu [KUACHANA] Japo mwanzoni maumivu ya mapenzi yatakuwa makali ila utazoea na mwisho kusahau. Usipoteze muda wako kwa asie kupenda,bro.
 
Kuachwa kuachwaaaaa,
Kuachwa ni shughuli pevu,

Mbaya zaidiii, kwa yule unayempenda
Yeye ananenepa, wewe unakondaa, kwa mawazooo, kwa mawazoo.... x2
 
Pole sana,Kubali kwamba huyo si wako,muda huponya majeraha utasahau utampata aliye wako,usilazimishe ubavu ambao si wako kuweka kwenye mbavu zako utavunjika na kupata majeraha zaid.
 
Pole sana mkuu.....nakushauri hata usijisumbue piga chini msaahau tu....mwngine utampata tu tena kilaiiiini kabisa, ila polee
 
Back
Top Bottom