Ni Galili ya maradhi ya Ngiri ya mshipa yanataka kuja kwako nenda kamuone Daktari haraka iwezekanavyo. Na kama unapiga punyeto acha kupiga punyeto.Habari wadau,
Recently nimekua nikipata maumivu makali sehem ya kiunon na korodani la upande wa kushoto. Linaweza kua tatizo gani maana nimeenda hospital nimepima uti majibu yakaja niko fit.
Hahahahah kumbe tuko wengi.. but pole sana master..Mimi jamani nasumbuliwa na ugonjwa wa korodani kuuma lakini ni baada ya kujisaidia haja kubwa naombeni ushauri
Kiuno na korodani ya kushoto kuuma upande wa kushoto pia me naumwa lkn pulii long time SaanaAcheni puli,..kuumwa lower back pain na korodan ni matokeo ya puli isiyo ya nchi hii...google uone
Mkuu nenda hospitali kubwa iliyoko karibu na wewe unapoishi nenda kamuone Daktari muhusika wa maradhi ya wanaume. Kama upo mjini Dares-Salaam unayo pesa nenda hospitali ya Wahindi iliyopo Upanga inaitwa Hindul Mandal au nenda Hospitali ya rufaa Muhimbili ukitibiwa hauja pona nione mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako uguwa pole.MziziMkavu
Hata mi nimekua nikihis hivo ila sijui wapi nianze, unajua doctor yoyote ama hospital inayo deal na mambo haya. Thanks