Maumivu ya kiuno na shingo

Maumivu ya kiuno na shingo

Yukwapi

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
480
Reaction score
605
Habari za muda huu Wana JF
Ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno muda mrefu hii nahisi nikutokana na kubeba mizigo mizigo ila Hadi kufikia Sasa sio kiuno tuu balii napingili za UTI wa mgongo maeneo ya shingo pamoja na mishipa kiujumla,nikifanya kazi kidogo natoa jasho sana kunamdaa najihisi uchovu hatakama sijafanya kazi. Nilienda kupima kutokana na hizo dalili nikaambiwa siumwii kabisa nipo vizuri naombeni ushauri wenu wadau hii Hali inantesa sana mwili hauna nguvu kama mwanzo naombeni msaada
🙏🙏
 
hio ishu ya kuuma mgongo na shingo mara nyingi chanzo kuwa ni Godoro unalolalia litakuwa ni la mda mrefu kiasi kwamba limelainika mno tokana mgandamizo wa mwili..suluhisho ni kununua godoro jipya au kama vp geuza hilo godoro juu chini na chini juu itasidia kwa muda..godoro linatakiwa liwe gumu na lililonyooka bila mbonyeo pia tumia mto ili kubalansi kati ya shavu na mabega..kikubwa badili godoro
 
Pole sana.

Kama una historia ya kubeba au kunyanyua vitu vizito kwa muda mrefu basi ni muhimu ukafika hospitalini ukaonane na daktari bingwa wa mifupa (orthopedics surgeon) kwa ajili ya uchunguzi na vipimo ili kubaini kisababishi cha maumivu hayo.

Kila la kheri.
 
Taizo lipo kwenye kitanda au /na godoro...kuna mdau hapo juu kakushauri jambo lifamyie kaz na ujaribu kuangalia chaga za kitanda chako uwiano wake upoje kutokana na vipimo
 
hio ishu ya kuuma mgongo na shingo mara nyingi chanzo kuwa ni Godoro unalolalia litakuwa ni la mda mrefu kiasi kwamba limelainika mno tokana mgandamizo wa mwili..suluhisho ni kununua godoro jipya au kama vp geuza hilo godoro juu chini na chini juu itasidia kwa muda..godoro linatakiwa liwe gumu na lililonyooka bila mbonyeo pia tumia mto ili kubalansi kati ya shavu na mabega..kikubwa badili godoro
Godoro ni tanfoam jipya
 
Ukilala au ukikaa haupati msukumo/pressure kwenye chembe ya moyo? If yes fanya father diagnosis ya moyo na tumbo. If not Fanya massage na lala on flat surface at least kwa 1 week uone kama utapona au kupata nafuu.
Kufanya mazoezi MUHIMU.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom