Maumivu ya Kichwa kulia

Maumivu ya Kichwa kulia

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,162
Naomba msaada wa ushauri wakuu
Nina mwanangu wa kiume amemaliza drs la saba mwaka huu.
Analalamika maumivu ya kichwa upande wa kulia hasa juu kidogo ya jicho lake, ameanza pre form one lakini ameshindwa kuendelea, anaenda shule na baadae kichwa kinamuuma sana hasa nyakati za kuanzia saa tatu asbh hadi saa saba hivi baada ya hapo kinapoa. Ni zaidi ya wiki sasa, alikuwa na mafua mama yake akamfukiza na dawa ya kichina ndo kichwa kikaanza. Alienda hospitali kupima, hana maralia lakini akapewa Amocxilin capsules anaendelea kunywa, sometime anatumia paracetamol kupoza maumivu lakini maumivu kesho yanarudi tena. Sielewi nifanyeje, hadi nafikiri labda amepata cancer ya kichwa. Je naweza pata msaada kwa mwenye experience anisaidie kutatua tatizo permanently?
Natanguliza shukrani.
 
Nenda mtafute mchungaji aombe kwa ajili ya tatizo amini anapona
 
Dizaini kama kipanda uso, na kama ndicho loh...
 
Hiyo tunaita Kipanda USO. Dawa yake aponde majani ya mgagani afunge pua na kuvuta kama ugolo.
 
Pima CRP, ni tatizo la kawaida usiogope. Nimeku pm pia.
 
Mkuu, nina tatizo la kichwa upande wa kushoto. Kinapiga sana, nikitumia pain killer kinapoa then kesho yake kinarudi. Nimepima malaria sina, na damu ipo ya kutosha. Ushauri tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom