Maumivu upande wa kulia chini ya mbavu

Maumivu upande wa kulia chini ya mbavu

Joined
Oct 31, 2017
Posts
64
Reaction score
32
Habarini wanajamvi,

Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la maumivu upande wa kulia chini ya mbavu japo sio maumivu makali na tatizo hujitokeza wakati wa baridi, nikifanya kazi za kuinama muda mrefu, nikinywa vinywaji kama Juise za viwandani, soda na hata pombe.

Je, inaweze kuwa ni dalili za ugonjwa gani?
 
Nenda Hospital ukafanyiwe check up...
 
Inaweza kuwa figo au pneumonia
Muhimu kwenda hospitali upate uhakika
 
Ini ndio lipo upande wa kulia, nenda kafanye vipimo ingali mapema
Habarini wanajamvi,

Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la maumivu upande wa kulia chini ya mbavu japo sio maumivu makali na tatizo hujitokeza wakati wa baridi, nikifanya kazi za kuinama muda mrefu, nikinywa vinywaji kama Juise za viwandani, soda na hata pombe.

Je, inaweze kuwa ni dalili za ugonjwa gani?
 
Shida inaweza kuwa ini au kama ni chini zaidi (juu ya nyonga upande wa kulia) appendicitis.

Unahisi joto (homa)? Ukipagusa panauma? Una manjano hasa kwenye macho?

Kwa msaada zaidi nenda hospitali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom