Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,020
Hellow wanajf,natumaini wote muwazima kwa wale wagonjwa poleni..mimi tatizo langu ni maumivu makali chini ya kitovu maumivu haya sio continously huwa yanakuja na kuacha huwa yanakua makali sana kama mtu anakata na kitu cha ncha kali pia huwa hayachukui muda kuacha yani yanakua ya muda mfupi sana lakini ni maumivu makali,je ni tatizo gani linalopelekea hali hii kutokea na tiba yake ni ipi?