Habari wadau,
Mwenza wangu analalamika maumivu ya tumbo baada ya kujifungua kwa muda mrefu sasa takribani miezi 8 sasa
Anasema ni ule upande ambao mtoto alikuwa analalia akiwa tumboni kuna maumivu flani hiv ambayo huja na kuondoka
Sasa sijui tatizo ni nn? Naomba msaada
Sent using
Jamii Forums mobile app