Maliza kwanza dawa, na sindano ni aina gani au dawa ulizopatiwa?, pia ni muhimu kufanya vipimo vya magonjwa yote ya zinaa, maana hili kundi lina aina nying ya magonjwa na yana dalili zinazofanana , UTI ni basic watu wengi hukutwa nayo kwahyo checkup zaidi ni muhimu