Maulid Said Mtulia umepotoka!

Watu tulikesha Pale biafra Kwa ajili yake leo hii katuona sisi Wapumbav

Ova
 
Mkuu mimi.mwenyeee nilishiriki kampeni za mtaa kwa mtaa kuanzia kwa koma koma hapo mpaka kwa kopa mpaka bondeni kule, In fact Mtulia alipita kwa nguvu za wananchi tulikuwa tumeichoka ccm. Lakini mtu tuliyemwamini ametuangusha

Kweli njaa mbaya sana
 
Naishia kucheka tu wajinga sisi hahahahahaha
Muda na pesa niliyotumia kwake bora ningetumia bar at least nafsi ingefarijika sna
 
Watu wapo kwa maslahi yao binafsi amkeni mdai katiba mpya

Hamna zaidi ya hili, yaliyobaki yote Ngonjera, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, yakifanikiwa haya Magu atarudi kuwa mpole si kawaida, vinginevyo ni maumivu tu kwa wapinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…