Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,791
- 218,420
Ni aibu sana kwa familia ya Mtulia na wazazi wake .Mkuu unaweza ukasema yote ila ukweli ni kuwa wanasiasa wanawaza kutatua njaa zao sio za wananchi
Ujue kuna kitu kiko nyuma ya pazia ila wengi hatujui tumebaki na neno la kununua hao wanaweza wakawa hawanunuliwi ila wananamna nyingineNi aibu sana kwa familia ya Mtulia na wazazi wake .
Biblia imeandika kwamba " amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu "Jiandae kuanzisha thread ya Peter Msigwa soon
Hakuna chochote zaidi ya Usaliti tu , maana hakuna njaa yoyote kwa mbunge inayoweza kumdhalilisha kwa kiwango hiki .Ujue kuna kitu kiko nyuma ya pazia ila wengi hatujui tumebaki na neno la kununua hao wanaweza wakawa hawanunuliwi ila wananamna nyingine
Biblia imeandika au imeandikwa?Biblia imeandika kwamba " amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu "
Mkuu siasa inamandalizi ya muda mrefu sana usione kila anae iponda ccm ni mpinzani wengine wametengenezwa na ccm kwaajili ya matumizi ya badaeHakuna chochote zaidi ya Usaliti tu , maana hakuna njaa yoyote kwa mbunge inayoweza kumdhalilisha kwa kiwango hiki .
Nakuhakikishia mkuu kwamba Mungu siyo Fala , huyu atapigwa laana ambayo gharama yake haina mfano .Nakumbuka November 25 2015 vijana wa kinondoni yote walimpigania sana Mtulia kila kijana ilikuwa mtulia ,kwa kuwa Mtulia alikuwa mkazi wa kino na anajulikana ,watu wengi walimkubali na walikesha kwaajili yake hata vurugu kutokea ,ilipotangazwa kashinda ilikuwa shangwe maeneo ya kinondoni yote mkwajuni ,Moscow ,B kila mahali
Mtulia kawaangusha sana wana kinondoni,
Machozi yenu hayatapotea bure .kuna vijana kinondoni tulipigwa mabomu kwa sababu ya ubunge wake
Mkuu yani wakazi wa kinondoni wanatukana sana kitendo cha bwana mtulia kuwavua nguo na wanasema hawakulala siku tatu kumpigania ubunge ila yeye katumia dakika moja kuwaacha tupu.Nakumbuka November 25 2015 vijana wa kinondoni yote walimpigania sana Mtulia kila kijana ilikuwa mtulia ,kwa kuwa Mtulia alikuwa mkazi wa kino na anajulikana ,watu wengi walimkubali na walikesha kwaajili yake hata vurugu kutokea ,ilipotangazwa kashinda ilikuwa shangwe maeneo ya kinondoni yote mkwajuni ,Moscow ,B kila mahali
Mtulia kawaangusha sana wana kinondoni,
Hebu kiseme hicho kituUjue kuna kitu kiko nyuma ya pazia ila wengi hatujui tumebaki na neno la kununua hao wanaweza wakawa hawanunuliwi ila wananamna nyingine
Umenikumbusha Dr Slaa alivyokuwa akilipwa stahiki za kibunge na chama chake ilhali yeye si mbunge akapewa " cheo" cha mgombea wa uRais!Nimeona niliweke hili wazi ili kuwakumbusha wanaJF,
Kulikuwa na makubaliano ya UKAWA kutoka nje ya bunge ili kuonyesha kupinga kwa vitendo kusiginwa kwa katiba ya Tanzania kuhusu namna majina ya mfukoni mwa Lipumba yalivyoletwa na kuapishwa bungeni
Huku kukiwa na kesi Mahakamani kuhusiana na wabunge hao, Mtulia aliamua kubaki ndani ya bunge, huu ulikuwa usaliti wa wazi na wote wenye macho matatu tulianza kumtilia shaka.
Tetesi zinadokeza kwamba bwana Maulid ameahidiwa kununuliwa kwa kulipwa mafao yote na mshahara pamoja na stahili zingine ambazo angepata katika kipindi cha miaka mitano, ikiwemo hela inayoitwa ya usumbufu.
Hii ndio namna hela ya makinikia inavyotumika! Unamuungaje mkono mtu aliyezuia demokrasia ambayo ndio uliitumia kupata ubunge? Katiba inavunjwa makusudi bila haya, hakuna ajira, hakuna maendeleo, maisha ni magumu kuliko enzi ya ukoloni, mikopo ya wanafunzi ni chini ya 50% , inahitaji akili ya kichaa kuunga mkono mambo haya.
Kitendo alichokifanya Mtulia si tu kwamba ni matusi makubwa kwa wana Kinondoni waliompigania kufa na kupona ili apate ubunge, bali ni kufuru kubwa sana kwa Mwenyezi Mungu ambaye ndiye mwenye dhamana ya kuumbwa kwake, hakika laana ya jambo hili haitamuacha salama.
Tunamtakia kila la heri katika maisha yake mapya ya usaliti.