Maulid Mtulia ni mbunge pekee wa UKAWA aliyeshuhudia kuapishwa kwa viti maalum wa Lipumba

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,441
215,221
Nimeona niliweke hili wazi ili kuwakumbusha wanaJF,

Kulikuwa na makubaliano ya UKAWA kutoka nje ya bunge ili kuonyesha kupinga kwa vitendo kusiginwa kwa katiba ya Tanzania kuhusu namna majina ya mfukoni mwa Lipumba yalivyoletwa na kuapishwa bungeni

Huku kukiwa na kesi Mahakamani kuhusiana na wabunge hao, Mtulia aliamua kubaki ndani ya bunge, huu ulikuwa usaliti wa wazi na wote wenye macho matatu tulianza kumtilia shaka.

Tetesi zinadokeza kwamba bwana Maulid ameahidiwa kununuliwa kwa kulipwa mafao yote na mshahara pamoja na stahili zingine ambazo angepata katika kipindi cha miaka mitano, ikiwemo hela inayoitwa ya usumbufu.

Hii ndio namna hela ya makinikia inavyotumika! Unamuungaje mkono mtu aliyezuia demokrasia ambayo ndio uliitumia kupata ubunge? Katiba inavunjwa makusudi bila haya, hakuna ajira, hakuna maendeleo, maisha ni magumu kuliko enzi ya ukoloni, mikopo ya wanafunzi ni chini ya 50% , inahitaji akili ya kichaa kuunga mkono mambo haya.

Kitendo alichokifanya Mtulia si tu kwamba ni matusi makubwa kwa wana Kinondoni waliompigania kufa na kupona ili apate ubunge, bali ni kufuru kubwa sana kwa Mwenyezi Mungu ambaye ndiye mwenye dhamana ya kuumbwa kwake, hakika laana ya jambo hili haitamuacha salama.

Tunamtakia kila la heri katika maisha yake mapya ya usaliti.
 
Nakumbuka November 25 2015 vijana wa kinondoni yote walimpigania sana Mtulia kila kijana ilikuwa mtulia ,kwa kuwa Mtulia alikuwa mkazi wa kino na anajulikana ,watu wengi walimkubali na walikesha kwaajili yake hata vurugu kutokea ,ilipotangazwa kashinda ilikuwa shangwe maeneo ya kinondoni yote mkwajuni ,Moscow ,B kila mahali

Mtulia kawaangusha sana wana kinondoni,
 
Nakuhakikishia mkuu kwamba Mungu siyo Fala , huyu atapigwa laana ambayo gharama yake haina mfano .
 
Hapa ndio uona umuhimu wa mabadiliko ya katiba hapa ingelikua mbunge akijiuzulu kama bwana huyu hakuna uchaguzi kufanyika bali chama husika ndio kichague mtu mwengine SBB huu ubunge ki ukweli sio wa kwake Bali ni wa chama maana kama engelisimama mtulia kama mtulia ni dhahiri kushinda jimbo ingekua ngumu bali pale chama ndio kilishinda kwa kupitia huyo bwana hii ni sawa na hata kwa mazingira ya nyalandu ki ukweli mazingira kama haya au hata kufariki mbunge hakuna haja ya kufanyika uchaguzi chama husika kijaze nafasi take tu uchaguzi ufanyike ck ambayo tutakua na mgombea binafsi na sio ki aina hii
 
Nakumbuka November 25 2015 vijana wa kinondoni yote walimpigania sana Mtulia kila kijana ilikuwa mtulia ,kwa kuwa Mtulia alikuwa mkazi wa kino na anajulikana ,watu wengi walimkubali na walikesha kwaajili yake hata vurugu kutokea ,ilipotangazwa kashinda ilikuwa shangwe maeneo ya kinondoni yote mkwajuni ,Moscow ,B kila mahali

Mtulia kawaangusha sana wana kinondoni,
Mkuu yani wakazi wa kinondoni wanatukana sana kitendo cha bwana mtulia kuwavua nguo na wanasema hawakulala siku tatu kumpigania ubunge ila yeye katumia dakika moja kuwaacha tupu.
 
Nimeona niliweke hili wazi ili kuwakumbusha wanaJF,

Kulikuwa na makubaliano ya UKAWA kutoka nje ya bunge ili kuonyesha kupinga kwa vitendo kusiginwa kwa katiba ya Tanzania kuhusu namna majina ya mfukoni mwa Lipumba yalivyoletwa na kuapishwa bungeni

Huku kukiwa na kesi Mahakamani kuhusiana na wabunge hao, Mtulia aliamua kubaki ndani ya bunge, huu ulikuwa usaliti wa wazi na wote wenye macho matatu tulianza kumtilia shaka.

Tetesi zinadokeza kwamba bwana Maulid ameahidiwa kununuliwa kwa kulipwa mafao yote na mshahara pamoja na stahili zingine ambazo angepata katika kipindi cha miaka mitano, ikiwemo hela inayoitwa ya usumbufu.

Hii ndio namna hela ya makinikia inavyotumika! Unamuungaje mkono mtu aliyezuia demokrasia ambayo ndio uliitumia kupata ubunge? Katiba inavunjwa makusudi bila haya, hakuna ajira, hakuna maendeleo, maisha ni magumu kuliko enzi ya ukoloni, mikopo ya wanafunzi ni chini ya 50% , inahitaji akili ya kichaa kuunga mkono mambo haya.

Kitendo alichokifanya Mtulia si tu kwamba ni matusi makubwa kwa wana Kinondoni waliompigania kufa na kupona ili apate ubunge, bali ni kufuru kubwa sana kwa Mwenyezi Mungu ambaye ndiye mwenye dhamana ya kuumbwa kwake, hakika laana ya jambo hili haitamuacha salama.

Tunamtakia kila la heri katika maisha yake mapya ya usaliti.
Umenikumbusha Dr Slaa alivyokuwa akilipwa stahiki za kibunge na chama chake ilhali yeye si mbunge akapewa " cheo" cha mgombea wa uRais!
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom