Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Habari zenu ndugu zangu?? Mwaka huu na mpango wakuanza kutumia iphone hasa taget yangu ni iphone Xs max au 11 pro max(napenda simu kubwa) ila kuna kitu nataka kujua kuhusu hizi iphone kwa kwel maana kuna iphone OG na fake je nitajuaje kuwa hii ni fake na hii n OG??? Ili nisije kubambikwa simu fake??
fata huu ushauri hapaNenda kwenye duka Apple hapo mliman city utanunuaa simu original uipendayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nisamehe mzee baba pale siyo poa mm mzee wa mitaan tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nisamehe mzee baba pale siyo poa mm mzee wa mitaan tu
Kama unataka Iphone OG nenda I Store Mlimani City au Seacliff Village.Habari zenu ndugu zangu?
Mwaka huu na mpango wakuanza kutumia iphone hasa taget yangu ni iphone Xs max au 11 pro max(napenda simu kubwa) ila kuna kitu nataka kujua kuhusu hizi iphone kwa kwel maana kuna iphone OG na fake je nitajuaje kuwa hii ni fake na hii n OG? Ili nisije kubambikwa simu fake?