MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,051
Habari zenu wakongwe!
Kwa wale wakongwe ndani ya jukwaa hili ninaamini wananifahamu vizuri sana!
Tarehe 29 Julai 2023 niliandika andiko lenye kichwa cha habari kinachosema, "Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya! Ukipenda kusoma, gonga hii LINK==>Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana!
Ilinichukua miezi mitano kufahamu kuwa Rais Samia hana karama, kipaji na ujuzi wa uongozi baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania.
Uchaguzi Mkuu 2025 umechagiza na kuhitimisha hoja yangu! Yaliyotokea wakati wa utawala wake hayatapita kitaifa na kimataifa kama yalivyopita katika tawala zingine nchini.
Ni ukweli uliowazi, Katiba Mpya ijayo itaulazimu utawala ujao uhakikishe aliyekuwa anajiita "Rais wa awamu ya sita" anavuna alichopanda katika utawala wake!
Ninafahamu kwa sasa anafanya jitihada kubwa za kutengeneza mazingira ili aweze kulindwa baada ya utawala wake! Hawezi kufanikiwa! Karma is a bitch and it's just a matter of time!
Kwa sasa anahangaika kutafuta maoni jinsi ya kufanikisha ahadi ya Katiba Mpya ambayo anataka imlinde yeye na kundi lake baada ya utawala wake. Baadhi ya wanaCCM ambao ni statesman wamekataa kuingia kwenye huu mtego ili wamsaidie na baadae wawe kafara! There's no getting out of this! Kwa vyovyote vile, katiba mpya ijayo itakuwa ni kitanzi chake kwa sababu hata ndani ya CCM wamemchoka achilia mbali Watanzania kwa ujumla wao.
Ninafahamu anafanya jitihada ili kufanya marekebisho ndani ya Katiba ya 1977 ili aachane na zoezi zima la kuandika Katiba Mpya kwa sababu Katiba ya sasa inamlinda Rais mstaafu au aliyeondolewa madarakani. Hizi jitihada haziwezi kufanikiwa!
Tanzania ijayo baada ya utawala wa Rais Samia inaenda kubadilika kumuundo na kiuwajibikaji! Hii ina maana Rais Samia atakuwa ni Rais wa kwanza nchini kuwajibishwa!