asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Huyu mwejezaji atakuwa na watu wakubwa nyuma yake. Na kwa jinsi ninavyowajua masai huyo mwekezaji atahama nchi.
Mwekezaji ni wa Rai group kutoka Kenya.
Huu ukatili umezidi kipimo.
Chadema wameanza mauaji, huyo alitaka kurudi ccm chadema wakamuwahi
Katibu wa chadema wa kijiji cha Min'genyi wa chadema auawa kikatili na mgambo wawili kwa kugongwa na gari la Mwalimu Gidasaida.
Katibu huyo alimpeleka mwandishi wa habari wa ITV kumuhoji Mwekezaji wa shamba la Gidaagamodi kumuhoji kuhusu uonevu wa kuwanyanyasa wananchi jirani na shamba lake.
Huu ukatili ni wa kuupiga vita, haki itendeke.kwani inavyonekana mwenyekiti wa kijiji na Afisa mtendaji wa kata wanafahamu kinachoendelea.
Chadema wameanza mauaji, huyo alitaka kurudi ccm chadema wakamuwahi
Huyo katibu atakuwa alienda kuiba.
Huyo katibu atakuwa alienda kuiba.