Mauaji kiteto??!!

sehama

Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
62
Reaction score
7
Wakuu mwenye habari za uhakika atujuze. Maana nimesikia wamasai na wakulima wanauana huko kiteto.
 
Inasemekana watu 6 wameshapoteza maisha. Mwenye habari kamili atujuze tafadhali.:llama:
 
Kuna mtu analima huko yeye anasema ni zaidi ya ishirini na serikali imepiga kimya sijui tunaelekea wapi kwa style hii.
 
Yaani CCM basi tu, hiyo damu ya watu inayomwagika ovyo ovyo mtadaiwa tulieni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…