Tunatarajia ajenge TISS imara kuangalia fursa za kiuchumi. Tunapeleka SGR mpaka Burundi na Congo, yule muhuni aliyeshinda uchaguzi juzi kazi yake ni ku-destabilise Congo na Burundi, na akifanya hivyo, atakuwa anaathiri uwekezaji wetu wa matrilioni katika reli hiyo. We must have a strategic security partnership with Congo and Burundi kuhakikisha ziko salama katika mikono salama. Maana jamaa hachelewi kuanzisha vita sehemu tunayopitisha reli yetu.
and if possible, tutingishe mizizi ya huyo jamaa, in a long term plan.
Hivi vingine vya juzi ni kawaida tu ambavyo vinafanywa na mamlaka ya usalama wa serikali