M maoniyangu Member Joined Jul 9, 2011 Posts 53 Reaction score 4 May 2, 2012 #1 naona kama hii tume ya katiba itakuwa na matumizi makubwa sana. Leo wamekabidhiwa jengo jipya, kubwa lenye kila kitu. Bado gharama za huduma mbali mbali ambazo wameahidiwa. Hii katiba nayo isijekuwa sehemu ya watu kuneemeka kwa ufisadi!!
naona kama hii tume ya katiba itakuwa na matumizi makubwa sana. Leo wamekabidhiwa jengo jipya, kubwa lenye kila kitu. Bado gharama za huduma mbali mbali ambazo wameahidiwa. Hii katiba nayo isijekuwa sehemu ya watu kuneemeka kwa ufisadi!!