kihwa Member Joined Jun 9, 2019 Posts 13 Reaction score 12 Nov 12, 2022 #1 Wakuu mimi ni mwalimu nafundsha shule ya girls tu lakini nahisi wanatumia sana shisha naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia madhara yake na jinsi ya kuwashauri waachane na hayo matumizi. Much thanks
Wakuu mimi ni mwalimu nafundsha shule ya girls tu lakini nahisi wanatumia sana shisha naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia madhara yake na jinsi ya kuwashauri waachane na hayo matumizi. Much thanks
Licking Wounds JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 4,510 Reaction score 6,099 Nov 12, 2022 #2 Shule gani hiyo mkuu?
Kavishei Senior Member Joined Nov 9, 2014 Posts 118 Reaction score 43 Nov 12, 2022 #3 Licking Wounds said: Shule gani hiyo mkuu? Click to expand... Unajua madhara ya kutaja jina la hio shule hapa au umekosa cha kumjibu ukaamua kusema lolote??
Licking Wounds said: Shule gani hiyo mkuu? Click to expand... Unajua madhara ya kutaja jina la hio shule hapa au umekosa cha kumjibu ukaamua kusema lolote??
kihwa Member Joined Jun 9, 2019 Posts 13 Reaction score 12 Nov 12, 2022 Thread starter #4 Hajui madhara ndio mana