Biashara ya meno ya tembo iko mid Asia haswa China, Indonesia, Vietnam na Thailand. Na kitu kinachofanya yawe na thamani ni ya kiimani zaidi, wanaamini ukiwa nayo inaondoa mikosi, ugumba, inaleta bahati, inatibu homa, nguvu za kiume na matakataka kibao kwahyo basi ukiwa na kitu chochote chenye material hiyo its a big deal, bangili, pete, shanga, midoli ile ya mabuddha wao au hata kulitundika Ndovu lenyewe at home.
Hope imesaidia