R RIGHTSON Member Joined Oct 8, 2010 Posts 7 Reaction score 0 Oct 8, 2014 #1 Dsm pekee inatumia magunia zaidi ya 200,000 ya mkaa kwa siku, ambapo misitu zaidi ya ekari 400,000 hukatwa kwa mwaka. Je malengo ya kupunguza matumiz ya mkaa hadi kufikia mwaka 2020 angalao misitu ikatwe mpk ekar 200,000 yatatimia???
Dsm pekee inatumia magunia zaidi ya 200,000 ya mkaa kwa siku, ambapo misitu zaidi ya ekari 400,000 hukatwa kwa mwaka. Je malengo ya kupunguza matumiz ya mkaa hadi kufikia mwaka 2020 angalao misitu ikatwe mpk ekar 200,000 yatatimia???
waubani JF-Expert Member Joined Nov 21, 2012 Posts 542 Reaction score 211 Oct 8, 2014 #2 si tumeambiwa gesi ya mtwara ipoo??
R RIGHTSON Member Joined Oct 8, 2010 Posts 7 Reaction score 0 Oct 8, 2014 Thread starter #3 Utafikia wangapi huyo gesi??? Na je bei yake itakuwaje