LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,099 Reaction score 45,964 Jan 9, 2016 #21 Asprin said: Mbona matusi tena arifu? Click to expand... Humu tumechanganyikana watu wenye malezi tofauti,tuvumiliane kwa maswali na majibu.
Asprin said: Mbona matusi tena arifu? Click to expand... Humu tumechanganyikana watu wenye malezi tofauti,tuvumiliane kwa maswali na majibu.
franco15 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 518 Reaction score 208 Jan 9, 2016 #22 Hahahahaha hii thread inafurahisha sana naona mtoa mada kacharuka.... Husichukie boss jf watu wana utani sana utatukana wangapi? Wengine wana nia nzuri tu ya kukusaidia hahahaha
Hahahahaha hii thread inafurahisha sana naona mtoa mada kacharuka.... Husichukie boss jf watu wana utani sana utatukana wangapi? Wengine wana nia nzuri tu ya kukusaidia hahahaha