Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,088
Sidhani kama hili ndio jibu alilolitarajia...We ni wa BBC nini? Anyway kama una mb 500 ndio utaweza download movie yenye mb 500.. MB zinatumika kadri unayotumia data kwenye device yako, ukitumia data kiasi cha salio lako la mb ndio mb zinaisha.... Ili umaximize matumizi ya mb we download movies,ingia YouTube uangalie videos hapo utakuwa umemaximize matumizi yako hahaha
Hahaha swali lake nalo lina utata ngoja waje wakumsaidiaSidhani kama hili ndio jibu alilolitarajia...
Haahaa ila nimecheka sana
Kweli Kang pia kwa kuongezea kuna maandalizi ya kudownload yaani kufungua browser, kusearch hilo fail, yote hayo yanagharimu data(mb). Halafu kumbuka wakati unadownload kuna matangazo, kuna notifications za whatsapo, facebook,nk zinaingia, zote hizo zinakomba mb.Practically hautaweza kudownload file la 500MB kama una 500MB tu kwenye simu yako, kwa sababu 500MB bundle ni total kudownload na kuupload, na unapokuwa unadownload kitu always unaupload pia although ni kiasi kidogo zaidi.
So kwa mfano kama unatumia TCP protocol (browser,download yoyote ya kawaida) PC yako always inaongea na server unapodownload hiyo file inaiambia imepata vipande vipi vya file kuhakikisha file inashuka bila kuwa corrupt na kucontrol spidi ya download kulingana na network yako. So file ya 500MB itakula zaidi ya 500MB.
MB zinatumika pale simu/pc yako inapodownload au kuupload data, hata kama hautumii App yoyote zinakuwa zinakula data zikiwa background kwa mfano WhatsApp inashusha msgs inaupload phonebook yako, email app inashusha emails, aps zinakuwa updated etc.
Practically hautaweza kudownload file la 500MB kama una 500MB tu kwenye simu yako, kwa sababu 500MB bundle ni total kudownload na kuupload, na unapokuwa unadownload kitu always unaupload pia although ni kiasi kidogo zaidi.
So kwa mfano kama unatumia TCP protocol (browser,download yoyote ya kawaida) PC yako always inaongea na server unapodownload hiyo file inaiambia imepata vipande vipi vya file kuhakikisha file inashuka bila kuwa corrupt na kucontrol spidi ya download kulingana na network yako. So file ya 500MB itakula zaidi ya 500MB.
MB zinatumika pale simu/pc yako inapodownload au kuupload data, hata kama hautumii App yoyote zinakuwa zinakula data zikiwa background kwa mfano WhatsApp inashusha msgs inaupload phonebook yako, email app inashusha emails, aps zinakuwa updated etc.
Kweli Kang pia kwa kuongezea kuna maandalizi ya kudownload yaani kufungua browser, kusearch hilo fail, yote hayo yanagharimu data(mb). Halafu kumbuka wakati unadownload kuna matangazo, kuna notifications za whatsapo, facebook,nk zinaingia, zote hizo zinakomba mb.
!kiingereza tabu labda alikusudia Kupunguza (minimize) matumizi,.
Kumiximize tena
!
Kweli kabisa huwa zinapop up mara kwa mara. Niliposema kumiximize nilimaanisha kupata the best out of the least mb that i have. Sasa wale kenge kule juu ni wajuvi mno kuona mi nauliza wao wananizingua vipi niwatukane
Mbona matusi tena arifu?!
!
Kenge kweli wewe, mama ako
Mbona matusi tena arifu?
Basi siku nyingine umtukane yeye mwenyewe. Tusitukane wazazi wetu ambao hawana hatia kwenye haya maujinga ya humu JF.!
!
Nisamehewe bure... Kanikera kweli huyu mtu. Limechomoka tu.
!Basi siku nyingine umtukane yeye mwenyewe. Tusitukane wazazi wetu ambao hawana hatia kwenye haya maujinga ya humu JF.
Pamoja sana kiongozi. Kufanya kosa si kosa sana... bali kukirudia.!
!
!
Nimefanya kosa la kijinga kabisa. Sikuwa na sababu ya kumtukana. Ningemkaushia tu. Anyway, foolish mistake that was. Imetokea mara moja na haiyatokea tena.
Pamoja sana kiongozi. Kufanya kosa si kosa sana... bali kukirudia.