Mwami Ntale
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,024
- 2,750
Asante,vipi kuhusu kuficha mawasiliano ikilinganishwa na hii app ya kawaida?Zaidi gb wsp inaingilia falagha za watu zinazohusu kushare private zao
Mfano n kuchukua picture zao bila idhini yao
Mengine yoote ni kama ya huku tu
Mkuu hili liliwezekanaje. Sio kwamba uki connect WhatsApp web na WhatsApp ya kawaida huwa kunakua na ka notification fulani pale kwenye simu ambapo mdukuliwaji ni rahisi kugundua?Wapendwa habari?Mimi si muandishi mzuri ila naomba uvumilivu wenu na msaada kuhusu Gb WhassApp.Hoja ni kwamba hivi karibuni mke wangu alibadilisha app yake na kuweka Gb WhatsApp.Siku za nyuma niliwahi kumdukua kupitia WhatsApp web nikabaini watongozaji na aliokuwa anachati nao.Jambo hilo lilimfanya ataharuki mno .Sasa hoja yangu ni kuwa ,je Gb WhatsApp inawezaje kumsaidia mtu kukwepa udukuaji ukilinganisha na ile app ya kawaida?
Hiki ndicho natafuta mkuu,nisaidieHahahahaha. Natamani nikupe Siri Ila ili nisiwasaliti watumiaji wengine njoo PM nikuelekeze uguse sehemu gani ili kujua Kama kuna kitu anakuficha. Ila tu siku ukifanya hivyo utakutana na password na hakikisha unambana mpaka akufungulie. Ukimpa nafasi tu atafuta kila kitu
Mwaga maujuzi hapa mkuuHahahahaha. Natamani nikupe Siri Ila ili nisiwasaliti watumiaji wengine njoo PM nikuelekeze uguse sehemu gani ili kujua Kama kuna kitu anakuficha. Ila tu siku ukifanya hivyo utakutana na password na hakikisha unambana mpaka akufungulie. Ukimpa nafasi tu atafuta kila kitu
Mwanga hapa ....... HapaHahahahaha. Natamani nikupe Siri Ila ili nisiwasaliti watumiaji wengine njoo PM nikuelekeze uguse sehemu gani ili kujua Kama kuna kitu anakuficha. Ila tu siku ukifanya hivyo utakutana na password na hakikisha unambana mpaka akufungulie. Ukimpa nafasi tu atafuta kila kitu
GB ndio haiko secure zaidi kuliko official app ila ni vile ulitumia kuscan zile code. Sidhani kama anataka kuficha kitu ila anataka kupata features za ziada zilizopo uko. Kitu kingine hata wewe ukidukuliwa na baba au mama yako hautataka aendelee kuvamia privacy yako. Ukimdukua tena uwe tayari kumuacha au kumsamehe, usiwe kama wale wanaoenda kupima HIV kisha wakikutwa nayo wanakataa kutumia ARVs mpaka wabembelezwe ndio wanakubali wakati wanatakiwa kukata shauri kabla.Wapendwa habari?Mimi si muandishi mzuri ila naomba uvumilivu wenu na msaada kuhusu Gb WhassApp.Hoja ni kwamba hivi karibuni mke wangu alibadilisha app yake na kuweka Gb WhatsApp.Siku za nyuma niliwahi kumdukua kupitia WhatsApp web nikabaini watongozaji na aliokuwa anachati nao.Jambo hilo lilimfanya ataharuki mno .Sasa hoja yangu ni kuwa ,je Gb WhatsApp inawezaje kumsaidia mtu kukwepa udukuaji ukilinganisha na ile app ya kawaida?
Iliwezekana mkuu hakujua kinachoendelea mpaka nilipomwaga mambo hadharaniMkuu hili liliwezekanaje. Sio kwamba uki connect WhatsApp web na WhatsApp ya kawaida huwa kunakua na ka notification fulani pale kwenye simu ambapo mdukuliwaji ni rahisi kugundua?
Asante nitazingatia ushauri huu.GB ndio haiko secure zaidi kuliko official app ila ni vile ulitumia kuscan zile code. Sidhani kama anataka kuficha kitu ila anataka kupata features za ziada zilizopo uko. Kitu kingine hata wewe ukidukuliwa na baba au mama yako hautataka aendelee kuvamia privacy yako. Ukimdukua tena uwe tayari kumuacha au kumsamehe, usiwe kama wale wanaoenda kupima HIV kisha wakikutwa nayo wanakataa kutumia ARVs mpaka wabembelezwe ndio wanakubali wakati wanatakiwa kukata shauri kabla.
Madhara yake ni makubwa kuliko usijaribu mkuu unachokitafuta ni presha na kukonda hamna mwanamke asiyetongozwa ni yeye tuu na akili zakeHiki ndicho natafuta mkuu,nisaidie
Mwamba unauza ramani ase....Hahahahaha. Natamani nikupe Siri Ila ili nisiwasaliti watumiaji wengine njoo PM nikuelekeze uguse sehemu gani ili kujua Kama kuna kitu anakuficha. Ila tu siku ukifanya hivyo utakutana na password na hakikisha unambana mpaka akufungulie. Ukimpa nafasi tu atafuta kila kitu
Ahahahahaha....akikuta password pale juu, ajue kimeumana..!Hahahahaha. Natamani nikupe Siri Ila ili nisiwasaliti watumiaji wengine njoo PM nikuelekeze uguse sehemu gani ili kujua Kama kuna kitu anakuficha. Ila tu siku ukifanya hivyo utakutana na password na hakikisha unambana mpaka akufungulie. Ukimpa nafasi tu atafuta kila kitu
Siwezi kamwe kuuza mwamba. Nimemsaidia huyu mmoja tu ambae anataka kufa kwa pressureMwamba unauza ramani ase....dah ushaniuwa mwanangu ntaambia nini watu mimi
Ukimwaga mambo hadharani tutamjulisha Fouad mwenyewe na ataku block maisha kutumia mzigo.Mwamba unauza ramani ase....dah ushaniuwa mwanangu ntaambia nini watu mimi
Ishia hapo hapo mkuuAhahahahaha....akikuta password pale juu, ajue kimeumana..!
Mkuu hawa wake waliosoma au wanaoenda makazini ni msiba mkubwa acha tuu mkuu. Unaweza kumeza dawa zingii sana ili ufeeWapendwa habari?Mimi si muandishi mzuri ila naomba uvumilivu wenu na msaada kuhusu Gb WhassApp.Hoja ni kwamba hivi karibuni mke wangu alibadilisha app yake na kuweka Gb WhatsApp.Siku za nyuma niliwahi kumdukua kupitia WhatsApp web nikabaini watongozaji na aliokuwa anachati nao.Jambo hilo lilimfanya ataharuki mno .Sasa hoja yangu ni kuwa ,je Gb WhatsApp inawezaje kumsaidia mtu kukwepa udukuaji ukilinganisha na ile app ya kawaida?
Hii ya kuficha haisaidii mkuuHahahahaha. Natamani nikupe Siri Ila ili nisiwasaliti watumiaji wengine njoo PM nikuelekeze uguse sehemu gani ili kujua Kama kuna kitu anakuficha. Ila tu siku ukifanya hivyo utakutana na password na hakikisha unambana mpaka akufungulie. Ukimpa nafasi tu atafuta kila kitu