Matumizi ya fedha za mradi wa maji simiyu yabadilishwa.

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,569
9,429
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anton Mtaka ameagiza kubadilishwa kwa matumizi ya shillingi millioni 912 za mradi wa maji katika wilaya ya bariadi kutokana na kutoridhishwa na kiwango cha ujenzi wa mabwawa ya umwagiliaji ya Mwasubuya na Ikungulyambeshi.

Chanzo; startvhabari
 
Back
Top Bottom