Matumizi ya condom

Mimi hapa muwasho umejaa mwili mzima , sjui nmeunasa Tayari?? Niligusa mmoja akiwa Vct negative na majibu alinipa nikayaona ... Nina hofu tele
 
Huwaga nabebaga mfukoni ila nashtuka nimepiga kavu bada ya chezo kwisha
 
Hujamsugua vizuri
 
Issue ya matumizi ya condom ni tata sana. Inasemekana % kubwa ya watu hawatumii condoms na hata wakianza kutumia hua hawako consistence na matumizi hayo.

Lakini kinachochosha zaidi ni namna maambukizi yanavyotokea hasa HIV/AIDS ni kituko. Kuna watu kadhaa zaidi ya wanandoa 5 ninaowajua mm. Wakiwemo ndg zangu couple2 na workmate dogo fulani hv yaani watu wanaishi kindoa wanagegedana vzr tu. Ila wanapopima mmoja anakutwa na maambukizo mwingine wala yuko neg-ve hapo ndipo Mr Deception anapokuaga mkali.

Mimi labda uniambie condom inazuia mimba nitakuelewa ila hii hbr ya maambukizi nakataa.

Niliwahi soma habari za kondoms inasemekana walau kdg zile zinatengenezwa kwa Latex material zina kaubora kakuridhisha kuliko zinazotengenezwa kwa lambskin. Sasa kanunue kondoms zilizo maarufu kwa matumizi bongo uone zimetengenezwa kwa material gani? Hizo Latex ndo zinauzwa 2000+ hz za jerojero majanga.

Napita tu lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…