Matumizi ya bangi

Matumizi ya bangi

Bongo Lala

Member
Joined
Apr 21, 2008
Posts
30
Reaction score
0
kuna kitu nimegundua kwamba matumizi ya bangi yameongezeka sana hapa nchini, tofauti na zamani ambapo vijana ndio walikua watumiaji wakubwa wa kilevi hicho sasa hata watu wazima wenye kazi za heshima wanatumia kilevi hicho. Japo vijana wengi hasa wanaojihusisha na bongo flava ndio wanaoweza kuwa wanaongoza kwa kula ndumu bado kuna maafisa jeshi, polisi, wanasiasa, waandishi wa habari, walimu nk ambao wanakula msuba

sasa swali ni kwamba matumizi hayo yana athari gani kwa perfomance katika kazi na je wataalam wa afya wanalizungumzia vipi? zamani tulikua tunaambiwa ukivuta bangi unakua kichaa lakini mbona kuna watu wamevuta kwa muda mrefu lakini hawana hata dalili za ukichaa.

nawakilisha!
 
...............wazee wa leo si ndo vijana wa jana kwa hiyo ndumu wanaiendeleza kama kawa......
 
Bangi ina madhara makubwa. Lakini nadhani there is no need to panic,kama kwa mfano ukimuona mtoto wako anavuta bangi. There is time to reason with him,you don't have to come out with guns blazing. You don't have to take action right away. Bangi ina madhara. Usikae karibu na mtu anayevuta bangi,usikae anywhere near such a person,if you can help it.
 
Wake up and turn i loose, Kaya, Kaya,
Coz the rain is pouring, Kaya,kaya

Got to have kaya now, kaya kaya, x2

i feel so high i even touch the sky upon the falling rain,
i feel so good in this my neighborhood so,

i've got have Kaya now!!

Huyo ni Robert Nesta Marley akiisifia NDUMU aka cha Arusha. hii kiu achana nayo bana yaani ile harufu yake tu unasikia kichwa kinazunguka, sijui mtu unaamua kuvuta bangi unakuwa unafikiria nini, kwa nini usinywe maziwa??? unaweka jani kifuani eeeh mungu tunusuru
 
kuna kitu nimegundua kwamba matumizi ya bangi yameongezeka sana hapa nchini, tofauti na zamani ambapo vijana ndio walikua watumiaji wakubwa wa kilevi hicho sasa hata watu wazima wenye kazi za heshima wanatumia kilevi hicho. Japo vijana wengi hasa wanaojihusisha na bongo flava ndio wanaoweza kuwa wanaongoza kwa kula ndumu bado kuna maafisa jeshi, polisi, wanasiasa, waandishi wa habari, walimu nk ambao wanakula msuba

sasa swali ni kwamba matumizi hayo yana athari gani kwa perfomance katika kazi na je wataalam wa afya wanalizungumzia vipi? zamani tulikua tunaambiwa ukivuta bangi unakua kichaa lakini mbona kuna watu wamevuta kwa muda mrefu lakini hawana hata dalili za ukichaa.

nawakilisha!
We huoni kama umeshakuwakichaa kwa kuwakilisha wabangebange wenzako?Mvuta bange ni mvuta bange tuu,na kuna ukichaa ndani yao,kama si ukichaa ninini,mbona mkitaka kuvuta mpaka mjifiche?Alafu kibaya zaidi kwa kichaa ni kwamba anajiona ni mzima tuu!!
 
Bangi ina madhara makubwa. Lakini nadhani there is no need to panic,kama kwa mfano ukimuona mtoto wako anavuta bangi. There is time to reason with him,you don't have to come out with guns blazing. You don't have to take action right away. Bangi ina madhara. Usikae karibu na mtu anayevuta bangi,usikae anywhere near such a person,if you can help it.
Duu,kweli bange mbaya lakini the way unavyotaka tuwanyanyapae wadau wake hata vitabu vya dini vinakushtaki,hivi siku ukiishi na mkoma itakuwaje?si utakimbia nyumba!!Je,utajisikiaje ukigundua kuwa baba yako ni mdau wa hiyo kitu since alipokuwa shule,na bado anaendeleza msebenzo?
 
....i dont like people to speak just because of the stereo types ambayo ipo katika jamii.watu wengi huwa tunaongea tu sababu hivyo ndivyo ilivyowekwa na jamii,ooh mvuta bangi ukimuona kaa mbali nae,ooh sijui watu hawa huwa wanafikiri nini..!i doubt kuwa wengi wanaotoa hizi comments wanawajua au wameweza kukaa hata karibu na mtu anetumia mjani.kila kitu kina faida na madhara yake,tusitake kuwa-condem watu bila kuwajua hasa undani wao.kaa umfahamu mtu kisha m-judge,sio kuja na mambo yale yale ya kama huendi kanisani au huamini niaminivyo mimi basi wewe ni mkosefu......
 
Matumizi ya bangi yana aina nyingi kunasehemu inatumika kama mboga za majani na mbegu zake ni kiungo kizuri tu
 
don't judge the book by its cover...try to do research the good, the bad, why the ban then say something
 
Back
Top Bottom