Matumaini yakumpata mtoto yanapotea

mwanzo wetu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
1,587
Reaction score
466
Matumaini yngu ya kumpata mwanangu yamepotea. Nimezaa na nes, ila tukatengana kutokana na hali yakulitumikia taifa.

Sasa kani blacklist hapa nitapata mtoto?

Ushauri!
 
Hata nikimtafuta yani hapatikan nilikuwa namazoea ya kutuma matumizi sasa hata nashindwa nitumeje wakati all time busy.
 
Tumia namba nyingine ya cm utampata, then muulize kwanini akufungie mawasiliano nae ukishapata jibu ndo utajua la kufanya. Ila kuna uwezekano mkubwa ana mwanaume mwingine ambae anambana sana ndo maana anaogopa usije muharibia
 
Umezaa na mtu,kwenye family nzima Unamjua yeye tu!!!
Mtoto ameshapata Baba huyo.
Ushauri:
Ukipata bint mwingine mkapanga kuzaa bila ndoa basi at least ufahamike kwao naye afahamike kwenu maana Kuna leo na kesho.
Huyo uliyezaa na nesi kama kwa simu imeshindikana kumpata Nenda mkoa anakofanyia kazi,kama Hujui anakoishi Nenda anakofanyia kazi Hata kama amehama Unaweza kupata taarifa za kukuongoza.
 
Nashukuru sana wadau kwa maono mazuri but hapa kweli hawezi muaminisha mtoto wangu kuwa bb yake ndo huyo aliyenaye.
 
Tafta wa kuzaa nae,aki ku whitelist akute una kichalii teari
 
aaagh! Mi nlijua mtoto kapotea?!! Una uhakika huyo mtoto ni wakoo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…