Matukio yatakayoushtua ulimwengu...

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
1. Kifo cha Mandela
2. Barcelona kushuka daraja
3. Mess akipelekwa Liverpool kwa mkopo
4. Taifa stars wakishinda WORLD CUP
5. DINO MOREA akiwa rais wa URT
6. Bibi kidude/Bi Cheka kuperform BET
7. Ray na Uwoya kuigiza Bollywood
8. Rihana kuolewa na Timbulo
9. Ligi kuu Uingereza kuchezwa Africa
10. Wewe hapo kuwa mtanzania wa kwanza kwenda mwezini, namaanisha MOON si vinginevyo
ONGEZEA VINGINE UNAVYOFIKIRIA WEWE!
 
Mbona alishakukubali zamani,kilichobaki ni wewe tu kumtafutia sehemu tulivu muwe peke yenu umalize shughuli na kufungua ukurasa mpya,jana mpaka saa 9 usiku alikuwa bado anasoma mistari uliyomshukia.....

aha,ha,ha,ha,ha,ha....sina mbavu,unamaanisha moshi mweupe umeanza kufuka ee
 
Aiseeee baba yangu mbona nilipata habari huko kwenu dar dr manyaunyau alikwenda mwezini na ungo au zilikuwa stori za mita mitaani kweli
 
Imeniacha hoi mmoja tu, stars kushinda world cup, hahahahahahahahahahahahaha
 
Ralphryder kumuoa Miss world!
 
Hakuna jipya chini ya jua! Mwisho wa dunia a.k.a kiama pekee ndicho kitakachoushtua ulimwengu.
 
dah kuperform BET sio...hii kweli itashangaza...

ok wema sepetu kuolewa na zito kabwe
 
1. MAGAMBA kuchukua URAISI 2015!! ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…