Matukio ya picha toka viota vya marahai weekend hii

Mbona kwa mswathi wanakaa tu uchii sembuse chupi tu hiyo?prob with you guys mkiona chupi mnawaza kwingine ndo maana mnapata shida loh..kaza moyo
 
Mbona kwa mswathi wanakaa tu uchii sembuse chupi tu hiyo?prob with you guys mkiona chupi mnawaza kwingine ndo maana mnapata shida loh..kaza moyo

Wa kwa Mswati hawavai mawigi. Hawapaki lipstiki. Hawabebi chupa za bia.
 
Watanzania tuna mengi ya kujadili na kutafuta ufumbuzi wake, kutumia bytes nyingi kujadili mapicha haya ni kuwa nyuma ya wakati. hatuwezi kufika katika mtindo huu.
Nakuunga mkono saana BT....tufanye nini sasa ndio tumeathirika kiivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…