Matukio ya ajabu ajabu kwenye kampeni

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]Labda demokrasia ndivyo inavyokua nasi tumekomaa kiasi cha kuweza kuzuia mihemuko na jazba zitakatokana na taafsiri ya matukio haya na yanayo fanana na haya.[/h]
Ama pengine tatizo lipo kwenye mtizamo na tafsiri kama asemavyo
Bandio, "The way you see the problem, is the problem".




Ilitokea huko Iramba, Singida wakati aliyekuwa Mwenyekiti CHADEMA Iramba alipojiunga CCM na mbwa kuvishwa bendera ya CHADEMA (bofya hapa kutizama video ya tukio hili).

Katibu wa CHADEMA, Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es Salaam, Kamanda Henry Kilewo akimkabidhi Mzee kadi mpya ya CHADEMA baada ya mzee huyo kurudisha kadi ya TANU (CCM) maeneo ya Usangi, Kilimanjaro.
​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…