Mtoa mada naona sio mtanzania,maana aliyo bwabwaja hapo kasimulia na alikuwa kijiwe cha wanywa gongo! Anashindwa kuona umasikini wa kutupwa kwa watanzania na mporomoko wa elimu bila kusahau dolla na tsh! Huyu mtu kweli chooo sana! Anaona kwake hayo ni shangwe??! Na....tena wewe ni kuku wa pasaka subiri uliwe.