Akamilishe vigezo haraka. Halafu apewe Timu ya Simba. Matola, Mkwasa na Julio Alberto Tarantini Pereira nawakubali sana linapokuja suala la Makocha wa Ndani ya nchi.matola hana vigezo vya kukaa bench kwenye mechi za caf
Amuandikie barua Prof Nabi ya maombi ya kumfundisha ukocha mbona Gomez aliomba piamatola hana vigezo vya kukaa bench kwenye mechi za caf
Matola bado Sana, kumanage international players inahitaji uwezo mkubwa ambao matola Hana, (Kama anataka akasome zaidi, ajifunze na lugha) siongei kwa kumdharau Ila kwa viwango ambavyo Simba inaelekea kumpa timu matola ni kujitekenya na kucheka mwenyewe.Wana msimbazi bila shaka tumeona pira biriani likisakatwa leo ndani ya dimba la Mkapa. Tumeona bonge la performance kutoka kwa wachezaji wa Simba leo na wamejituma kwa hali ya juu.
Hivyo haina haja ya kutafuta kocha wa kigeni bali tumpe tu timu Matola, ataifikisha mbali kwenye ligi na kimataifa. Kuna usemi unasema mchawi mpe mtoto wako akulelee.
Matola bado Sana Kaka, anahitaji Sana elimu na exposure,Well navyojua mie ni kwamba mwafrica lazima awe na caf A licence wakati kocha wa kutoka ulaya awe na uefa pro licence maana kwao hiyo ndio highest qualification.
Lengo la càf ni kwamba makocha wote wa ligi kuu za nchi lazima wawe na A licence ili kjufundisha timu.
Tuache mihemuko,Matola Anajua Dogo, Anajua Sana [emoji91]
Kwa hiyo safari hii hamtaki tena kocha kutoka Real Madrid na Getafe!Matola Anajua Dogo, Anajua Sana [emoji91]
Elimu sii ndio kama hivyo ameshapata lese i B sasa ni kuitafuta leseni A. Hili la elimu nakubaliana nawe maana elimu haina mwishoMatola bado Sana Kaka, anahitaji Sana elimu na exposure,
Tutamtafuta Hitimana kwa muda kama wakati ulematola hana vigezo vya kukaa bench kwenye mechi za caf
Tulikuwa tunacheza nusu fainali ya CAF tumeshinda 3-0,kwa Mkapa hatoki NTU.Hebu kumbushia mlikuwa mnacheza na timu gani vile?
Sasa mbona aya ndio matatzo ya simba msimu mzima ,rudia mechi ya gender wale wa nigerBinafsi sijaridhishwa na ile perfomance...hebu tutofautishe matokeo na perfomance.
Ingawa matokeo ndio muhimu lakini Wacheza wengi wapo chini ya kiwango, wamelegea na uzembe ni mwingi sana.
Wamekosa magoli ya wazi, wanapoteza pasi hovyo...baadhi yao wana maamuzi mazito au ya chini ya kiwango...haswa eneo la baki...mfano kuna yule sikupata alikuwa nani, alishindwa kuamua apige mpira golini, atoe pasi au apige chenga mpaka golini...matokeo yake mpira wakapoteza.
Hivi kwa mpira ule timu makini si ilikuwa droo, na ni kwa kuwa Beno kafanya saves kadhaa za hatari?.
Alafu napenda timu inayocheza kwa haraka, bado naona kuna kujivuta sana...haswa Beno mpira ukitoka au akidaka atazubaa sana kabla ya kuanzisha.
Unaona ushindi mechi mbili magoli 2+ na ushindi mnono. Tumwamini tumpe timu, tusiwe na mawazo ya ngozi nyeupe tu. Kuhusu kutokuwa na sifa hilo halina shida tutamuongeza kocha mmoja wa geresha kama alivyokuwa HitimanaMatola hatoshi na Hana sifa.
Najua Kuna machawa wake hapa jukwaan Ila mwambien ukweli kuwa hatoshi na Hana vigezo vya kuinoa Simba.
Na hata angekua na vigezo bado Ana uswahili mwingi Sana timu inahitaji watu smart upstairs sio kocha unakua na janjajanja za kula 10percent za wachezaji wako hapo lazima uipasue tu timu.
Matola tunamjua nje ndani Ana wachezaji wake hapo Simba na anawapambania balaa ,bahat mbaya umri umewatupa mkono na saiz anapambana apate wengine wa kula hizo 10 percent Sasa kwa uswahili km huu hawez kuifikisha timu popote pale maana anaendekeza ushkaji kwenye Mambo serious
Tukimpa kazi tutamtimua hata kabla ya msimu kuisha, Bora abaki hapo alipo tuendelee kuwa nae.Elimu sii ndio kama hivyo ameshapata lese i B sasa ni kuitafuta leseni A. Hili la elimu nakubaliana nawe maana elimu haina mwisho
Exposure gani unataka aipate tena mzeya wakati kama champions league kashaona vinvyohitajika huko. Tuwape fursa wazawa na kuwawezesha pia.
Nakubaliana na wewe,Wana msimbazi bila shaka tumeona pira biriani likisakatwa leo ndani ya dimba la Mkapa. Tumeona bonge la performance kutoka kwa wachezaji wa Simba leo na wamejituma kwa hali ya juu.
Hivyo haina haja ya kutafuta kocha wa kigeni bali tumpe tu timu Matola, ataifikisha mbali kwenye ligi na kimataifa. Kuna usemi unasema mchawi mpe mtoto wako akulelee.
Coaches are hired to be fired.... So ata mkimfukuza hatakiwa kocha wakwanza duniania kutimuliwaTukimpa kazi tutamtimua hata kabla ya msimu kuisha, Bora abaki hapo alipo tuendelee kuwa nae.