JOSEPH GELARD CHIPA
Member
- Mar 14, 2019
- 10
- 1
Nimepata matokeo aya ,geograph C,civics C,history C,kiswahili C,english C,biology C,chemistry D,physics,D,math F jumla na 3 ya kwanza 22 .na malengo yangu ilikua ni PCB au CBG ingawa kwa bahati mbaya imekua ivyo.najua serikalini aiwezekani kuchaguliwa je kwa mpangilio huu wa DDC ya PCB au CCD ya CBG nikienda private watanichukua? Aswa apo kwenye PCB mana ndo focus yangu..nisaidieni ndugu kwa mawazo