Man, reply post kama unatumia simu itakupa option ya kusubmit reply na pembeni kuna attachments unaclick hapo itakupa option ya kuattach from location ambapo picha ipo
Au kama bado unapata tabu tuma whatsapp on 0713368153 tusaidiane kuyaattach pia utusaidie tuliopo mbali