Matokeo ya usaili TRA

Khee jumatano mbona mbali mamaaaa sasa tupate kwanza majibu kieleweke
 
Jamani hawa TRA ilikua warelease matokeo within 24 hours...kunani?
Mwenye kujua atujuze jamani...
Hivi mnaamini kweli mitihani 1,000 inaweza kusahihishwa kwa siku moja tu na kila mtu akapewa haki yake anayostahili??
 
Wapendwa hivi tra wameshatoa majibu mbona sielewi
 
habarni za kuamka ndugu zangu jaman walioenda kuangalia kama wamepiga picha watupie hapa watusaidie wengne
 
Wanandg,,majina yamebandikwa ila honest inasikitisha sanaa awajaweka rates za watu ilikuonyesha fairness ya mtu umepata ngapi hatakama ujachaguliwa
 
wao wamebandika 2 majina@walichaguliwa oral interview njema
 
Mkuu Kapilula, ukitaka ku attach picha ingia sehemu ya kureply, then bonyeza kitufe cha option itakupa option kadhaa zen chagua attach itakupekeka moja kwa moja kweny gallery, baada ya hapo utachagua picha unayotaka ku attach.
 
Wanandg,,majina yamebandikwa ila honest inasikitisha sanaa awajaweka rates za watu ilikuonyesha fairness ya mtu umepata ngapi hatakama ujachaguliwa

Mkuu kama bado upo hapo diamond nitumie namba yako ya simu nikupigie uniangalizie jina
 
Mkuu Kapilula, ukitaka ku attach picha ingia sehemu ya kureply, then bonyeza kitufe cha option itakupa option kadhaa zen chagua attach itakupekeka moja kwa moja kweny gallery, baada ya hapo utachagua picha unayotaka ku attach.

Mkuu kapilula kama umemuelewa jamaa vizuri tudondoshee tuangalie wengine tupo mbali, shukrani
 
Nielekezeni jinsi ya kuattach nimeyapiga picha yote
Man, reply post kama unatumia simu itakupa option ya kusubmit reply na pembeni kuna attachments unaclick hapo itakupa option ya kuattach from location ambapo picha ipo
 
Mbona sioni kitu hapa diamond zaidi ya watu wanaopga kura serikali za mtaa??
 
Mbona sioni kitu hapa diamond zaidi ya watu wanaopga kura serikali za mtaa??

Mkuu ulizia mlinzi atakuelekeza yalipo, yalibandikwa sehemu tuliyokuwa tunafanyia usaili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…