Matokeo ya usaili TRA

Sasa hawa jamaa hawajiongezi tu, wanataka nyomi kama ile irudi tena pale kwa ajili ya kusoma majina!!?

Watu ni wachache tu wala hakuna nyomi watu walikata tamaa wakaondoka, na inasemekana kesho pale kuna uchaguzi unafanyika so inaweza kiwa ngumu kwa watu kuangalia majina but i think kuna wadau walikua wanapiga picha wanaweza ku udate if posbo
 
Hilo la msingi kweli, kama kuna aliye pga pcha atusaidie wadau!
 
Sema wadau mida hii washalala nini,dah!Wengine ndio kesho tunapanga kurudi mikoani so hatujui hatima yetu!
 
Msaada jamani, nimeshakata tiket ya kwenda Bukoba kesho, je oral kwa assistant tax officer ni lini?(provided nipo ama sipo) natanguliza shukrani!
 
Msaada jamani, nimeshakata tiket ya kwenda Bukoba kesho, je oral kwa assistant tax officer ni lini?(provided nipo ama sipo) natanguliza shukrani!

Kuna mdau hapo juu amesema ni jumanne.
 
Yule aliyepiga picha tafadhali tusaidie cye tuliosafiri tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…