Matokeo ya uchaguzi Rombo

Matokeo ya uchaguzi Rombo

RWEJUNA JJ

Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
16
Reaction score
7
Yafuatayo ndiyo matokeo ya jimbo langu la
Rombo linaloongozwa na Mheshimiwa Joseph
R. Selasini (Mb.).
VIJIJI 68
CHADEMA= 38
CCM = 30.
VITONGOJI = 312
CHADEMA = 157
CCM = 154
KIMOJA KIKO WAZI BAADA YA MSHINDI WA
CCM KUFARIKI MASAA MACHACHE KABLA YA
MATOKEO KUTANGAZWA.
HONGERENI WANAROMBO, VIONGOZI,
WANACHADEMA NA MBUNGE SELASINI.
by
JULIAN KAGAMBO
KATIBU BAVICHA (W)
ROMBO
 
Tunawasubiri wale waliosema Selasini kaiua CHADEMA ROMBO.
Tokea kwenye vijiji 2 na vitongoji 7 (2009).
SELASINI AMEDHIHIRISHA YEYE SIO MBUNGE WA MTANDAONI NI MBUNGE ALIYEKO NA WAPIGA KURA WAKE, ALIFANYA KAMPENI PASIPO MSAADA WA NGUVU YOYOTE KUTOKA NJE YA JIMBO, NA WALE WA KWENYE MITANDAO HAWAKUONEKANA KWENYE KAMPENI.
TULETEENI WATANGAZA NIA WA MITANDAONI MUONE TUTAKACHOWAELEZA, HAIWEZEKANI WATU WANAHANGAIKA VIJIJINI WENGINE WANAHANGAIKA MTANDAONI KUFANYA MAJUNGU.
HAKUNA MBUNGE ZAIDI YA SELASINI 2015.
HONGERA KAMANDA SELASINI SALAMU ZIMEFIKA KWA USHINDI HUO NA HIYO DALILI NJEMA WATU WA ROMBO WAMEELEWA MLICHO KUWA MNAKISEMA TANGU VUGUVUGU LA MAGEUZI LIANZE TANZANIA.
 
Cc. Ben saanane, le king social media
 
Last edited by a moderator:

WELL SAID MR RWEJUNA. NADHANI MH. SELASINI KAWAJIBU WATU KWA VITENDO NA UYU JAMAA SI MTU WA LONGOLONGO. VIVA MH SELESINI VIVA CHADEMA VIVA UKAWA.
MH. SELESINI HAKUNA KULALA MOTO HUU MPAKa 2015
 
well said mr rwejuna. Nadhani mh. Selasini kawajibu watu kwa vitendo na uyu jamaa si mtu wa longolongo. Viva mh selesini viva chadema viva ukawa.
Mh. Selesini hakuna kulala moto huu mpaka 2015

hakuna kulala, na hatuwezi kuridhika na hiki kidogo tulichokipata tunataka zaidi ya hiki, na nia ni moja kuwatetea wananchi wa rombo.
Viva selasini.
 
Vingunguti Mtaa wa miembeni mgombea wa uenyekiti kupitia Cuf ameshinda pamoja na njama ya ccm kununua wapiga kura kwa sh 5000
 
Honhera kiongozi selasini ukawa hoyeeeee yani huuu ni mwendo kiwembe kikali wakicheza tunawachuna mpaka ngozi ,ngoja tusikilize rais atasema nn leo ukawa begakwabega na watadondoka tu kama wachawi
 
Watakoma kama mtoto aliyeachishwa kunyonya....mwakani watatuona na tena bado....
 
Back
Top Bottom