Acheni pumba nyinyi, sisi wenyewe pia tumeapply tena kupitia mfumo wa pamoja CAS(nacte) na tumefanya mawasiliano na makao makuu ya nacte wakasema kuwa matokeo yote yanatoka kuanzia mwezi wa nane ,,ila hatuwezi jua ww mwenzetu umeapply kwa njia gani ndo maana upo kinyume.
Sasa kwa wale wote ambao wapo kinyume haya ngojeene matokeo yenu mwezi huu ,ila kama ww umeapply kupitia nacte jiandae mwezi wa nane,,na nawakumbusha kuwa kwa wale ambao bado hawajafanya application wawahi kwani mwisho ni 18/07..