Matokeo ya QT Form 2 yameshatoka?

Matokeo ya QT Form 2 yameshatoka?

paup

Senior Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
102
Reaction score
58
Wakuu naombeni kujua mwenye taarifa kama matokeo ya qt form two yametoka ama yatatoka lini
msaada tafadhali.
 
qt miaka ya nyuma ilikuwa ikitoka sambamba na matokeo.ya kidato cha nne sijui miaka ya sasa maana serikali yenu kilanasubuhibkuna badiliko lisilo na tija

kwa kweli this time naona yametoka tofauti..form two kawaida yametoka qt bado..
 
qt miaka ya nyuma ilikuwa ikitoka sambamba na matokeo.ya kidato cha nne sijui miaka ya sasa maana serikali yenu kilanasubuhibkuna badiliko lisilo na tija
Hata sasa ni hivyohivyo kwa sababu wanafanya na form four
 
Hapana Miaka yote,qt yanatoka na form four
ook nashukuru kwa kunifahamisha maana dogo anayasubiri kwa hamu
je ya form two huwa yanatoka lini pls
me ni mhenga nishasahau
 
Hivi hao QT wanasyllabus yao au wanatumia ileile inayitumiwa na government schools???
 
Na mimi naomba niulize swali kupitia uzi huu, hivi unaweza kurudia mtihani wa kidato cha nne(kuresit) somo ambalo hukulifanya

mfano, ulifanya masomo saba yaani, kiswahili, english, mathematics, geography, history, civics na biology,

unaweza kuyarudia yote na ukaongeza chemistry na physics? ilihali haya mawili hukuyafanya awali?

msaada tafadhali?
 
Mtihani wa QT(Qualifying test) hufanyika sambamba na mtihani wa form four na matokeo yake pia hutoka sambamba na matokeo ya form four.

Kuhusu kureseat mtihani kwa somo ambalo hukulifanya hilo pia linawezekana cyo lazima ureseat kwa masomo yaleyale unaweza kujisajili kwa somo lolote kwasababu reseaters hawana CA(contineous assesment)
 
Na mimi naomba niulize swali kupitia uzi huu, hivi unaweza kurudia mtihani wa kidato cha nne(kuresit) somo ambalo hukulifanya

mfano, ulifanya masomo saba yaani, kiswahili, english, mathematics, geography, history, civics na biology,

unaweza kuyarudia yote na ukaongeza chemistry na physics? ilihali haya mawili hukuyafanya awali?

msaada tafadhali?
Yes unaweza
 
ahsante mkuu, sasa me nilipiga masomo nane, niliongeza na bible knowladge naweza kulitoa pia?
Unaweza sana tu kulitoa mkuu maana private candidates hawana continuous assessment (CA) ko somo lolote lile ulipendalo unaweza kulirudia. Pia kwa msaada zaidi jinsi ya kuyafauru masomo ambayo hukuyasoma njoo pm mkuu, hutojuta kamwe
 
App ya jf imezingua hivyo natumia opera mini nashindwa kukupm hebu ni pm ww kwanza haraf tuendelee, au nichek hapa 0765555216
 
ook nashukuru kwa kunifahamisha maana dogo anayasubiri kwa hamu
je ya form two huwa yanatoka lini pls
me ni mhenga nishasahau
Ya form two yameshatoka kama wiki mbili zilizopita
 
Na mimi naomba niulize swali kupitia uzi huu, hivi unaweza kurudia mtihani wa kidato cha nne(kuresit) somo ambalo hukulifanya

mfano, ulifanya masomo saba yaani, kiswahili, english, mathematics, geography, history, civics na biology,

unaweza kuyarudia yote na ukaongeza chemistry na physics? ilihali haya mawili hukuyafanya awali?

msaada tafadhali?
Yap inawezekana kabisaa
 
Ndio
 
b2c5faef9fdffde9b827b0a65fc99f24.jpg
 
Back
Top Bottom